DEAL DONE-NINJA WA TAIFA YA JANG'OMBE ASAINIWA YANGA
Beki kisiki wa timu ya Taifa ya Jang"ombe Abdallah Haji Shaibu "Ninja" amesaini mkataba wa miaka 2 na mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Tanzania bara klabu ya YANGA.
Mkataba huo Ninja amesaini mchana wa leo kwenye Makao makuu ya klabu hiyo iliyopo Jangwani Jijini Dar es salam.
Zaidi endelea kufatilia blog hii.
Comments
Post a Comment