GULIONI NA TAIFA YA JANG’OMBE KUNOGESHA SIKUU YA EID PILI KESHO AMAN

Katika kusheherekea Sikuu ya Eid Fitir timu ya Taifa ya Jang’ombe na Gulioni watacheza mchezo maalum wa kirafiki kesho Jumanne Iddi Pili mchezo ambao utasukumwa majira ya saa 2:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan.

Viingilio vya mchezo huo ni Shilingi 2000/=, 3000/= na  VIP 5000/= .

Mbali ya mchezo huo kesho, siku ya Alhamis Iddi nne Gulioni watacheza mchezo mwengine wa kirafiki dhidi ya Jang’ombe Boys mchezo ambao utapigwa majira ya saa 2:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan.


Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS