HAND BALL UNGUJA HAO WATINGA ROBO FAINALI UMISSETA
Timu ya Unguja ya mpira wa Mikono (Hand Ball) imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika Mashindano ya UMISSETA baada ya kuwafunga Rukwa kwa mabao 13-8, mchezo ulipigwa katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba Mkoani Mwanza.
Kwa matokeo hayo Unguja itacheza robo fainali Jumanne dhidi ya Katavi majira ya saa 3 asubuhi huko Butimba.
Comments
Post a Comment