MAKUNDI YA UJIRANI MWEMA NDONDO CUP YAWEKWA HADHARANI

Mashindano ya ujirani mwema Ndondo CUP inatarajiwa kuanza rasmi mnamo July 9, 2017 katika uwanja wa Maungani kati ya Mabingwa watetezi timu ya Miembeni dhidi ya Microtech ambapo Kamati ya Mashindano hayo pia imepanga makundi 4 katika timu 20 zitakazocheza.

KUNDI A
Miembeni, Kane Kombain, Birmingham, FC Lugalo na Microtech.

KUNDI B
Qatar, Kilimani City, Kikungwi, No Fair na Tandale.

KUNDI C
African Coast, Njaa kali, Zantex na Unajua Unacheza na Nani.

KUNDI D

Jamaica, Oklahoma, Mitondooni, Daladala na Chaani Stars.
 

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS