TAIFA YAUKUBALI MZIKI WA MLANDEGE

Mchezo wa kirafiki Taifa ya Jang'ombe 1-2  Mlandege katika uwanja wa Aman.

Mabao ya Mlandege yamefungwa na Abdallah Edi Mundo dakika ya 60 na Razak Halfan dakika ya 78.

Bao pekee la Taifa limefungwa na Ali Badru dakika ya 30.

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS