ANGALIA KIKOSI KILICHOANZA CHA KOMBAIN YA MJINI UNGUJA KWENYE MCHEZO WA SASAIVI DHIDI YA MBULU ALL STARS
Kikosi kamili cha Mabingwa Watetezi wa Mashindano ya Rolling
Stone timu ya Mjini Unguja watakaocheza na wenyeji timu ya Mbulu All Stars saa 10:15 katika uwanja wa Julius Nyerere huko Mbulu Mkoani Manyara.
KIKOSI KAMILI CHA MJINI
UNGUJA
1. George Munish “Dida”
2. Hassan Chalii
3. Muharami Khamis “Terra”
4. Abubakar Ame “Luiz”
5. Ali Juma Maarifa “Mabata”
6. Mohd Yahya “Banka”
7. Abrahman Juma “Baby” (C)
8. Yakoub Amour
9. Mohd Vuai “Prince”
10. Ibrahim Abdallah “Imu Mkoko”
11. Seif Said “Tiote”
SUB
SUB
Ali Mbarouk (Al hapsy)
Mohammed Jailan (Msuva)
Mohammed Haji (X box)
Suleiman Ali (De jong)
Abdul hamid (Ramos)
Fahmi Salum (Migwel)
Abdul hamid Juma (Samatta)
Ibrahim Chafu
Talib Mohammed
Kocha mkuu wa timu hiyo ni Mohammed Seif “King” akisaidiwa na
Ramadhan Abdulrahman “Madundo”.
Comments
Post a Comment