KOMBAIN YA MJINI NA DULLA BOYS NGUVU SAWA, JUMATANO NA KWEREKWE CITY
Timu ya Kombain ya Mjini na timu ya Dulla boys zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Amaan.
Mjini watacheza tena mchezo mwengine wa kirafiki kesho kutwa Jumatano July 5, 2017 dhidi ya Kwerekwe City katika uwanja wa Amaan saa 1 za usiku.
Mjini wanajiandaa na Mashindano ya Rolling Stone ambayo yanatarajiwa kuanza July 9-19, 2017 huko Mbulu Mkoani Manyara.
Comments
Post a Comment