MSAFARA WA MJINI UNGUJA WAWASILI SALAMA MBULU MANYARA, SASA WAPO TAYARI KUTETEA TAJI LAO
Msafara wa watu 30 wa timu ya Kombaini ya Mjini umewasili
salama Mbulu Mkoani Manyara kwa ajili ya kushindana Mashindano ya Vijana ya
Afrika Mashariki na Kati ya Rolling Ston yaliyopangwa kuanza July 9-19, 2017.
Msafara huo umewasili saa 5 za usiku jana wakiwemo wachezaji
22, makocha 2 pamoja na viongozi 6.
Wachezaji 22 waliyosafiri na timu hiyo ni :-
WALINDA MLANGO
Aley Ali Suleiman
“Manula” (Miembeni city), Ali Mabrouk “Al hapsy” Black Sailors na GeorgeMunish
“Dida”.
WALINZI WA PEMBENI
Muharami Khamis “Terra” (Black Sailors), Abdul hamid Salum
“Ramos” (KVZ) na Hassan Chalii (Kipanga).
WALINZI WA KATI
Ali Juma Maarifa “Mabata” (Taifa ya Jang’ombe) na Abubakar Ame
“Luiz” (Membeni City).
VIUNGO WA KATI
Fahmi Salum (Mlandege), Ibrahim Chafu (Villa FC) Yakoub Amour
(Jang’ombe Boys), Mohd Ridhaa (Villa United), Talib Hamad (Kipanga), Mohd Yahya
“Banka” (JKU), Seif Said “Tiote” (KVZ)
na Suleiman Ali “De Jong” (Jang’ombe Boys).
VIUNGO WA PEMBENI
Abrahman Juma “Baby” (KMKM), Mohd Jailan (Chrisc), Mohd Haji
“Box” (Jang’ombe Boys).
WASHAMBULIAJI
Ibrahim Abdallah “Imu Mkoko” (Miembeni City), Mohd Vuai
“Prince” (Miembeni City) na Abdul hamid Juma “Samatta”.
Kocha mkuu wa timu hiyo ni Mohammed Seif “King” akisaidiwa na
Ramadhan Abdulrahman “Madundo”.
Viongozi wengine walofatana na timu hiyo ni Hassan Haji Hamza
“Chura” ambae ni mkuu wa msafara pamoja na Mwalimu Dau, Khamis Machano
(Mwenyekiti wa Kamati ya Central Wilaya ya Mjini), Nassir Kheir (Mtunza vifaa),
Said Salim “Hazard” (Muandishi wa Habari) na Nassir Salum “Msomali” (Muamuzi).
Comments
Post a Comment