MZUNGUKO WA 7 UMEMALIZIKA ZIMAMOTO YABANWA NA OKAPI, JUMANEE KUENDELEA TENA LIGI YA ZENJ
Mchezo wa mwisho wa mzunguko wa saba wa ligi kuu soka ya
Zanzibar hatua ya 8 bora uliochezwa jioni ya leo katika uwanja wa Gombani
Kisiwani Pemba timu ya Okapi dhidi ya Zimamoto zimeshindwa kutambiana baada ya
kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Zimamoto ndio wa mwanzo kupata bao lililofungwa na Nyange
Othman Denge dakika ya 30 wakati bao la Okapi limefungwa na Abdallah Rashid
dakika ya 69.
Ligi hiyo itaendelea tena mzunguko wake wa 8
J’NNE
|
25/7/017
|
29
|
OKAPI
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’NNE
|
25/7/017
|
30
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
J’TANO
|
26/7/017
|
31
|
MWENGE
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’TANO
|
26/7/017
|
32
|
JKU
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
Comments
Post a Comment