TAIFA JANG'OMBE BADO NYANYA, JKU SI WA MCHEZO MCHEZO
Matokeo ya ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora.
Gombani Pemba, Okapi 2-2 Taifa ya Jang'ombe.
Mabao ya Okapi Seif Saleh dakika ya 53 na Abdallah Rashid dakika ya 81.
Mabao ya Taifa Mohammed Said (Mess) dakika ya 70 na Ali Badru dakika ya 72.
Aman Unguja, JKU 3-0 Kizimbani.
Mabao JKU Is haka Othman dakika ya 41, Khamis Abdallah dakika ya 49 na Mbarouk Chande dakika ya 76.
Ligi hiyo itasimama hadi siku ya Ijumaa ambapo Jang'ombe Boys watakipiga na Kizimbani saa 10 jioni.
Comments
Post a Comment