WABABE WA TAIFA KESHO KUCHEZA NA ZIMAMOTO
Timu ya Kizimbani itashuka tena Dimbani kesho kukupiga na Zimamoto katika mchezo wa 8 bora ligi kuu soka ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan majira ya saa10 za jioni.
Mchezo mwengine kesho utasukumwa katika uwanja wa Gombani kati ya Mwenge dhidi ya Jangombe Boys.
Comments
Post a Comment