AMOUR JANJA AKOSA PENALTI DAKIKA ZA MAJERUHI JKU WAKITOA SULUHU NA BOYS, DOZI YA 5-0 YAENDELEA PEMBA
Timu ya JKU na Jang’ombe Boys zimeshindwa kutambiana baada ya
kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa 8 bora ligi kuu soka ya Zanzibar uliopigwa
jioni ya leo katika uwanja wa Amaan.
Katika mchezo huo Amour Omar “Janja” wa JKU alikosa penalty katika
dakika ya 83.
Mchezo mwengine jioni ya leo umepigwa katika dimba la Gombani
Kisiwani Pemba ambapo timu ya Mwenge ikaichapa Okapi mabao 5-0.
Mabao ya Mwenge yamefungwa na Abdul Yussuf dakika 6 na 44, Sharifu
Juma Hamad dakika ya 9, Humoud Abdulrahman dakika ya 15 na 75.
ligi hiyo itaendelea tena :-
11TH ROUND
|
||||||
J’TATU
|
07/8/017
|
41
|
JAMHURI
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’NNE
|
08/8/017
|
42
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
J’NNE
|
08/8/017
|
43
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 1:00USKAMAAN
|
J’NNE
|
08/8/017
|
44
|
KIZIMBANI
|
VS
|
JKU
|
SAA 10JIONIGOMBANI
|
12TH ROUND
|
||||||
IJUMAA
|
11/8/017
|
45
|
JAMHURI
|
VS
|
JKU
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
IJUMAA
|
11/8/017
|
46
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
IJUMAA
|
11/8/017
|
47
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 1:00USK AMAAN
|
J’MOSI
|
12/8/017
|
48
|
KIZIMBANI
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
13TH ROUND
|
||||||
J’NNE
|
15/8/017
|
49
|
JAMHURI
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’NNE
|
15/8/017
|
50
|
JKU
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
J’TANO
|
16/8/017
|
51
|
KIZIMBANI
|
VS
|
JANG’OMBE BOYS
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’TANO
|
16/8/017
|
52
|
TAIFA
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
14TH ROUND
|
||||||
J’MOSI
|
19/8/017
|
53
|
JAMHURI
|
VS
|
JANG’OMBE BOYS
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’MOSI
|
19/8/017
|
54
|
JKU
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 10 JIONI AMAAN
|
J’PILI
|
20/8/017
|
55
|
KIZIMBANI
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
J’PILI
|
20/8/017
|
56
|
TAIFA
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
Comments
Post a Comment