DIRISHA LA USAJILI ZANZIBAR KUFUNGWA LEO ALHAMIS

Dirisha la uhamisho na usajili rasmi litafungwa leo Alhamis Agost 17 majira ya saa 6:00 za usiku ambapo Makocha na Viongozi wengine wa Vilabu wamezidi kuwa bize kutafuta wachezaji wanaowahitaji ili kuziboresha timu zao katika msimu mpya wa mwaka 2017-2018.

Chama cha Soka Visiwani Zanzibar “ZFA” kilitangaza zoezi la uhamisho na usajili kwa msimu wa mwaka 2017-2018 kufunguliwa July 17, 2017 na kumaliza leo Alhamis Agost 17, 2017.


Zoezi hilo ni kwaajili ya Madaraja yote kuanzia ligi kuu soka ya Zanzibar, ligi daraja la kwanza Taifa, la Pili Taifa hadi ligi za Madara ya Wilaya.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS