KOMBE LA MTOANO LIMEENDELEA TENA LEO, JUMATANO IJAYO ZAMU YA KUNDEMBA

Kombe la Mtoano limeendelea tena leo kwa kupigwa michezo 2 katika uwanja wa Amaan saa 8 za mchana na saa 10 za jioni ambapo timu ya Negro United na Polisi Bridge zimesonga mbele kwa kushinda michezo yao.
Polisi Bridge ilicheza na New King saa 10 za jioni na kushinda kwa penalti5-4 wakati Negro United ikaifunga Gereji kwa Penaliti 5-3 katika mchezo wao uliochezwa saa 8 mchana.
ligi hiyo itaendelea tena Septemba 5, 2017 kati ya Mwembe makumbi dhidi ya Raska zone city saa 8 za mchana , na saa 10 jioni Kundemba itacheza na El Hilal, michezo yote katika uwanja wa Amaan. 

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS