KWEREKWE CITY WALIANZA NA WENGINE WAMEFUATIA, TIMU 4 ZIMEJULIKANA ZILIZOPANDA LIGI DARAJA LA PILI TAI

Bechi la Ufundi wa Kwerekwe City
Timu 4 zilizofanikiwa kupanda daraja la Pili Taifa kutoka la Pili Wilaya zimeshapatikana ambazo ni Kwerekwe city, New King, Mlandege na Mfenesini.

Timu hizo msimu mpya wa mwaka 2017-2018 zitashiriki ligi daraja la Pili Taifa ambapo ligi hiyo itakuwa na timu 36 na itachezwa kwa mfumo wa makundi ambapo zitapangwa kwenye makundi matatu na kila kundi kushuka timu 3.


Timu mbili za juu za daraja hilo zitapanda daraja la kwanza Taifa kwa msimu wa mwaka 2018-2019.  
Kikosi cha Mlandege

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS