JKU WABEBA NGAO YA HISANI
TIMU
ya JKU imefanikiwa kutwaa taji la Ngao ya Jamii kuashiria ufunguzi wa msimu
mpya wa 2017-2018 wa Ligi Kuu ya Soka visiwani Zanzibar baada ya ushindi wa wa
mabao 2-0 dhidi ya Miembeni city katika Uwanja wa Amaan jioni ya leo.
Baada ya mchezo huo, maana yake pazia la Ligi Kuu ya Soka visiwani Zanzibar ndiyo limefunguliwa rasmi na ligi
hiyo itaanza rasmi Oktoba 3, 2017 ambapo mechi za awali zitakua kama ifuatavyo.
3/10/2017
Mafunzo
Vs JKU saa 8:00 mchana
J/Boys Vs KMKM saa 10:00 jioni
J/Boys Vs KMKM saa 10:00 jioni
4/10/2017
Kilimani
City Vs Kipanga saa 8:00 mchana
Charawe Vs KVZ saa 10:00 jioni
Charawe Vs KVZ saa 10:00 jioni
5/10/2017
Zimamoto Vs Taifa J saa 8:00 mchana
Polisi Vs Miembeni C saa 10:00 jioni
Polisi Vs Miembeni C saa 10:00 jioni
6/10/2017
Chuoni Vs Black S saa 10:00 jioni
Baada
ya mzunguko huo ligi itasimama hadi tarehe 15/10/2017.
Comments
Post a Comment