RATIBA YA NUSU FAINALI COCO SPORTS NDONDO CUP , BINGWA MTETEZI THEO KOMBAIN WATAKIPIGA NA KIBONDE MAJI



Kamati inayosimamia Mashindano ya Coco Sports Ndondo Cup leo imetangaza ratiba ya nusu fainali ya mwaka 2017.


Hii ndio nusu fainali ya COCO SPORTS NDONDO CUP 2017

Jumapili 24/9/2017
Theo Kombain vs Kibonde Maji

Jumatatu 25/9/2017
Six center vs Amazon fc
Mechi zote zitapigwa katika uwanja wa blue star Mwera saa 10: 00 za jioni.

Mashindano hayo ya Ndondo CUP awali yalianza na timu 63 kwa kuchezwa mtoano na mpaka sasa kufikia hatua ya nusu fainali  ambapo bingwa anatarajiwa kupatiwa Ng'ombe na Shilingi Milioni moja.


Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS