BOYS KAMA TAIFA, YABANWA NA CHUONI LEO

Mzunguko wa tatu wa ligi kuu soka Zanzibar Kanda ya Unguja umehitimishwa jioni ya leo kwa kupigwa mchezo mmoja katika Uwanja wa Amaan kati ya Jang’ombe Boys na Chuoni ambao wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0.

Kwa matokeo hayo Boys amefikisha alama 2 baada ya kucheza michezo mitatu kwa kwenda sare miwili na kufungwa mmoja wakati Chuoni amejikusanyia alama 4 baada ya kushinda mmoja, sare mmoja na kufungwa mmoja.

Mzunguko wa nne wa ligi hiyo utaanza Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni Miembeni City dhidi ya Chuoni .
Jang'ombe Boys

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS