HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA

Salum Akida (KVZ) akikabidhiwa mpira na Abdughan Msoma mkurugenzi wa Ufundi ZFA
Mzunguko wa tatu wa Ligi kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja inatarajia kuanza Jumamosi ya Oktoba 21 saa 8:00 za mchana katika uwanja wa Amaan kati ya Mafunzo na Taifa ya Jang’ombe na saa 10:00 za jioni kati ya JKU na Miembeni City.

Mpaka sasa jumla ya mabao 31 yamefungwa katika ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ na Nassor Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika safu ya ufungaji ambapo wameshafunga jumla ya mabao 3 kila mmoja.

1.  Salum Songoro (KVZ) mabao 3
2.  Nassor Ali (Kipanga) mabao 3
3.  Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
4.  Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 2
5.  Salum Akida (KMKM) mabao 2
6.  Shomari Waziri (JKU) bao 1
7.  Nassor Matar (JKU) bao 1
8.  Khamis Mussa “Rais” (J Boys) bao 1
9.  Talib Hamad (Kipanga) bao 1
10.                   Daud Nyerere (Kipanga) bao 1
11.                   Hafidh Juma Haji (Chuoni) bao 1
12.                   Hamad Mshamata (Chuoni) bao 1
13.                   Charles Chinonso (Chuoni) bao 1
14.                   Ali Othman (Mafunzo) bao 1
15.                   Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto) bao 1
16.                   Nyange Othman Denge (Zimamoto) bao 1
17.                   Idrissa Simai (Zimamoto) bao 1
18.                   Abdallah Omar (Polisi) bao 1
19.                   Rafael Mwambeleko (KVZ) bao 1
20.                   Sultan Juma Kaskas (KVZ) bao 1
21.                   Bakar Bakar Mashango (Kilimani City) bao 1
22.                    Joseph Josephat Kalinga (Kilimani City) bao 1
23.                    Abdillah Seif Bausi (Kilimani City) bao 1

24.                   Abas Peter John (Black Sailors) bao 1

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS