HAWA NDIO WANAONGOZA KWA MAGOLI LIGI KUU ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA

Mzunguko wa nne wa ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja utaanza Ijumaa Oktoba 27 katika uwanja wa Amaan saa 10:00 za jioni Miembeni City dhidi ya Chuoni .

Mpaka sasa jumla ya mabao 41 yamefungwa katika ligi hiyo huku washambuliaji Salum Songoro wa KVZ na Nassor Ali wa Kipanga ndio wanaongoza katika safu ya ufungaji ambapo wameshafunga jumla ya mabao 4 kila mmoja.

MABAO 4
Salum Songoro (KVZ) mabao 4
Nassor Ali (Kipanga) mabao 4


MABAO 3
Mudrik Muhibu (KMKM) mabao 3
Salum Akida (KMKM) mabao 3

MABAO 2
Ali Haji Said “Zege” (JKU) mabao 2
Salum Songoro




Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS