MZUNGUKO WA PILI WA KANDA YA UNGUJA KUANZA KESHO JKU vs CHUONI, CITY vs MAFUNZO
Baada
ya kusimama ligi kuu soka ya Zanzibar na kupisha sherehe za Mwenge
zilizohitimishwa leo, mzunguko wa pili
wa kanda ya Unguja utaanza kesho kwa kupigwa
michezo
yote katika uwanja wa Amaan.
Jumapili
15/10/2017 saa 8:00 za mchana JKU vs Chuoni
Jumapili
15/10/2017 saa 10:00 za jioni Miembeni City vs Mafunzo
Jumatatu
16/10/2017 saa 8:00 za mchana Taifa ya Jang’ombe vs Polisi
Jumatatu
16/10/2017 saa 10:00 za jioni KVZ vs Zimamoto
Jumanne
17/10/2017 saa 8:00 za mchana Kipanga vs Charawe
Jumanne
17/10/2017 saa 10:00 za jioni KMKM vs Kilimani City
Comments
Post a Comment