TAIFA YA JANGOMBE YAPIGWA KIBAO NA HILIKA
Mchezo wa mwisho leo ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliochezwa saa 1 usiku Amaan, Zimamoto 1-0 Taifa ya Jang'ombe.
Bao limefungwa na Ibrahim Hamad Hilika dakika ya 69.
Ligi hiyo itaendelea tena kesho saa10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan, Black Sailors dhidi ya Chuoni.
Comments
Post a Comment