WAJUWE WAZANZIBAR WAWILI WALIYOITWA TAIFA STARS KWAAJILI YA MCHEZO WA KESHO TANZANIA DHIDI YA MALAWI
![]() |
Banka mwenye virasta na Adeyum |
Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars) kesho Jumamosi Oktoba 7, 2017 itacheza mchezo wa
kirafiki wa kimataifa dhidi ya Malawi utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, kuanzia saa 10.00 jioni.
Katika kikosi hicho
wamo Wazanzibar wawili ambao wanaonekana kungara sana katika ligi kuu soka
Tanzania bara akiwemo mlinzi wa kushoto Adeyum
Saleh Ahmed Machupa anaechezea Kagera Sugar pamoja na kiungo bora Mohammed Issa
(Banka) anaekipiga Mtibwa Sugar.
Kila la Kheir Banka na
Adeyum pamoja na Taifa Stars kwa ujumla.
Comments
Post a Comment