JKU YADINDIWA NA KIPANGA , KESHO SAILORS MZIGONI NA MAAFANDE

Ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja imeendelea tena leo kwa kupigwa mchezo mmoja katika uwanja wa Amaan majira ya Saa 10 za jioni ambapo timu ya JKU wakatoka sare ya 0-0 na Kipanga.

Mchezo huo ulikuwa kutokana na ubora wa timu zote mbili huku Mashabiki wengi walijitokeza kuangalia burudani hiyo.

Ligi hiyo itaendelea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan, mapema saa 8:00 za mchana KMKM watakuwa na kazi kucheza na Mafunzo na saa 10:00 za jioni Black Sailors watacheza na Polisi.

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE