KOCHA SALAHI KATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR YA WANAWAKE

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), Hemed Suleiman (Morocco) amemteuwa kocha Mohammed Ali Salahi (Richkard) kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar ya Wanawake (Zanzibar Queens).

Uteuzi huo umefanyika leo Jumatatu ambapo kocha Salahi atafundisha kikosi hicho kitakachokwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika muda wowote mwezi huu.

Baada ya uteuzi huo tumemtafuta kocha huyo akizungumzia uteuzi wake ambapo amefurahishwa sana huku akiwaahidi Wazanzibar kufanya makubwa katika kikosi hicho.

Jana Kikosi hicho kilitangazwa na kilikuwa hivi.

WALINDA MLANGO
Salma Abdallah (Green Queens)
Hajra Abdallah (Jumbi)
Mtumwa (New Generation Queens)

WALINZI
Hawa Ali (New Generation Queens)
Mtumwa Khatib (Women Fighter)
Aziza Mwadini (New Generation Queens)
Flora Kayanda (Jumbi)
Safaa Makirikiri (New Generation Queens)
Neema Suleiman (Jumbi)

VIUNGO
Mwajuma Ali (Jumbi)
Nasrin Mohd (Women Fighter)
Riziki Abdallah "Chadole" (Jumbi)
Aziza Ali (Jumbi)
Sijali Abdallah (Green Queens)

WASHAMBULIAJI
Mwajuma Abdallah (New Generation Queens)
Shadida Abdallah (Women Fighter)
Neema Machano (Jumbi)
Dawa Haji (Women Fighter)
Sabah Hashim "Mess" (New Generation Queens)
Greece Ronald (Green Queens)


Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE