MEIMBENI CITY KAZI NYENGINE KESHO KWA KVZ

Ligi kuu soka ya Zanzibar Kanda ya Unguja itaendelea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili katika uwanja wa Amaan.

Taifa ya Jang'ombe watakuwa na kazi pevu kucheza na Chuoni saa 8:00 za mchana na saa 10:00 za jioni Miembeni City watajaribu bahati yao kwa KVZ.
Wachezaji wa Miembeni City msimu uliopita

Comments

Popular posts from this blog

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE