WACHEZAJI WA 3 WA YANGA WARIPOTI KAMBI YA ZANZIBAR HEROES

Wachezaji watatu wa Klabu ya Yanga SC akiwemo mlinzi wa kushoto Haji Mwinyi Ngwali, Abdallah Haji Shaibu “Ninja” pamoja na Mshambuliaji Mateo Anton Simon, leo wamejiunga na kambi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) na kufanya mazoezi pamoja na wenzao katika uwanja wa Amaan.

Wachezaji hao walicherewa kufika kambini hapo kwa takribani wiki moja baada ya kuendelee kuitumikia klabu yao kwenye michezo mbali mbali ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara.


Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS