ZANZIBAR HEROES KUAGWA KESHO NA WAZIRI WA MICHEZO

Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), inatarajia kuagwa kesho kwa ajili ya safari yao ya kwenda mjini Kenya, kwenye Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kuanza Disemba 3-17, 2017.
Heroes itaagwa saa 9:00 alaasiri na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na michezo Rashid Ali Juma katika ukumbi wa V.I.P Uwanja wa Amaan.

Katika Mashindano hayo Heroes imepangwa Kundi  A ambalo lina timu za Tanzania Bara, Libya, Rwanda na wenyeji Kenya.

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS