KESHO RASMI MAPINDUZI CUP INAANZA KUPIGWA MICHEZO MITATU

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake rasmi kesho Ijumaa Disemba 29, 2017 katika uwanja wa Amaan kwa kupigwa michezo mitatu tofauti.

Saa 8:00 za mchana wataanza kati ya Mlandege dhidi ya JKU, Saa 10:00 za jioni Jamhuri watacheza na ndugu zao Mwenge na  saa 2:15 usiku Zimamoto watakipiga na Taifa ya Jang'ombe.

Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano hayo zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo zimepangwa katika makundi mawili A na B.

Katika kundi A, kuna Mabingwa watetezi Azam FC, Simba SC, URA, Mwenge na Jamhuri.

Katika michuano hiyo Klabu ya Yanga ambayo ipo katika kundi B, ipo pamoja na timu za Zimamoto, Mlandege, JKU, Taifa ya Jang'ombe na Singida United .

Ratiba kamRatiba kamili hii hapa.

Dec 29, 2017 Ijumaa saa 8:00 mchana Mlandege vs JKU  Group B, saa 10:00 Jamhuri vs  Mwenge Group A, saa 2:15 Zimamoto vs Taifa ya Jan’gombe Group B

Dec. 30, 2017 Jumamosi saa 10:00 Zimamoto  vs JKU  Group B, Saa 2:15 Taifa ya Jan’gombe vs Mlandege  Group B

Dec. 31,2017 Jumapili Saa 10:00 Azam    vs   Mwenge  Group A, saa 2:15 Jamhuri vs URA  Group A

Jan. 1, 2018 Jumatatu Saa 10:00 Mlandege  vs  Zimamoto  Group B, saa 2:15 JKU vs   Taifa ya Jan’gombe Group B

Jan. 2, 2018 Jumanne Saa 10:00 Singida united  vs Zimamoto Group B, saa 2:15 Simba    vs Mwenge Group A Yanga   vs   Mlandege Group B

Jan. 3, 2018 Jumatano URA vs   Mwenge Group A Azam   vs   Jamhuri Group A Taifa ya Jan’gombe vs Singida united Group B

Jan. 4, 2018 Thursday  JKU    vs Yanga Group BSimba    vs   Jamhuri Group A

Jan. 5, 2018 Friday Mlandege  vs  Singida united Group B URA    vs   Azam  Group A Yanga   vs  Taifa ya Jan’gombe  Group B

Jan. 6, 2018 Saturday  JKU   vs  Singida united  Group B Simba    vs   Azam  Group A

Jan. 7, 2018 Sunday   Zimamoto vs  Yanga  Group B

Jan. 8, 2018 Monday  Simba    vs URA  Group A Yanga   vs  Singida united Group B

Jan. 9, 2018 Tuesday Mapumziko

Jan.10,2018 Wednesday 1st Semi Final (Winner Group A, Runners Up Group )



10:30 jioni 2nd Semi Final(Winner Group B, Runners Up GroupA)



2:15 usiku
Jan. 13, 2018 Saturday  MAPINDUZI CUP FINAL 2018 8:00 pm (saa 2:00 usiku).

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS