KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES DHIDI YA KENYA
Kocha wa
Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed
Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye
Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar na Kenya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 10:00 za jioni.
ZANZIBAR
HEROES
1. Mohd Abrahman (Wawesha) 18
2. Ibrahim Mohd (Sangula) 15
3. Haji Mwinyi Ngwali 16
4. Abdulla Kheri (Sebo) 13
5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6. Abdul azizi Makame (Abui) 21
7. Mohd Issa (Banka) 10
8. Mudathir Yahya 4
9. Ibrahim Hamad Hilika17
10.
Feisal
Salum (Fei Toto) 3
11.
Suleiman
Kassim “Seleembe” 7 (Captain)
AKIBA
1. Ahmed Ali (Salula) 1
2. Ibrahim Abdallah 2
3. Adeyum Saleh 20
4. Abdullah Haji (Ninja) 5
5. Seif Rashid (Karihe) 12
6. Khamis Mussa (Rais) 28
7. Amour Suleiman (Pwina) 14
8. Hamad Mshamata 9
9. Abdul swamad Kassim (Hasgut) 22
Comments
Post a Comment