MASHINDANO YA CECAFA KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO
Mashindano ya CECAFA
SENIOR CHALENJ CUP yataanza kutimua vumbi kesho nchini Kenya.
Wenyeji Kenya
watafungua pazia hilo kwa mchezo wa kundi A dhidi ya Rwanda mchezo utakaopigwa
majira ya saa 8:00 za mchana katika uwanja wa Machakos.
Saa 10:00 za jioni
kesho kutakuwana na mchezo mwengine wa kundi A ambapo Tanzania Bara watacheza
na Libya.
Michuano hii itafikia
tamati Disemba 17, 2017.
Comments
Post a Comment