VIKOSI VYA ZANZIBAR HEROES NA KILIMANJARO STARS VITAKACHACHEZA LEO HIVI HAPA, MSHAMATA NA HIMID NDANI YA NYUMBA
Makocha wa
wakuu wa timu za Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed
Suleiman “Morocco” na Kilimanjaro Stars Ammy Ninje wametangaza vikosi vyao
vitakavyocheza leo kwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati
ya Zanzibar na Tanzania bara katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.
ZANZIBAR
HEROES
1. Mohd Abrahman (Wawesha) 18
2. Ibrahim Mohd (Sangula) 15
3. Haji Mwinyi Ngwali 16
4. Abdulla Kheri (Sebo) 13
5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6. Abdul azizi Makame (Abui) 21
7. Mohd Issa (Banka) 10
8. Mudathir Yahya 4 (Captain)
9. Ibrahim Hamad Hilika17
10.
Feisal
Salum (Fei Toto) 3
11.
Hamad
Mshamata 9
SUB
1. Ahmed Ali (Salula) 1
2. Ibrahim Abdallah 2
3. Adeyum Saleh 20
4. Abdullah Haji (Ninja) 5
5. Seif Rashid (Karihe) 12
6. Kassim Suleiman 19
7. Suleiman Kassim “Seleembe” 7
8. Khamis Mussa (Rais) 28
9. Amour Suleiman (Pwina) 14
10.
Abdul
swamad Kassim (Hasgut) 22
KIKOSI CHA KILIMANJARO STAR
1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Gadiel Michael
4. Kennedy Juma
5. Kelvin Yondani
6. Abdallah Hamis
7.Shiza Kichuya
8 Himid Mao
9.Elias Maguri
10. Daniel Lyanga
11. Mzamiru Yassin
AKIBA
1. Peter Manyika
2. Boniphace Maganga
3. Mohammed Hussein
4. Jonas Mkude
5. Raphael Daud
6. Ibrahim Ajib
7. Abdul Hassan
8. Yahya Zaydi
9. Yohana Mkomola
10.
Mbaraka
Yussuf
Comments
Post a Comment