ZANZIBAR YAONYESHA TENA KUWA KIWANDA CHA SOKA, LEO ZU YATWAA UBINGWA WA TUSA


Timu ya soka ya Chuo Kikuu cha Zanzibar University (ZU) imefanikiwa kutwaa kombe kwenye mashindano ya Vyuo Vikuu Tanzania (TUSA CUP) baada ya kuichapa Chuo cha St John cha Dodoma 4-0 mchezo iliopigwa huko Dodoma.

Mabao ya ZU yamefungwa na Said Bakar Said (Hat trick) na Mohd Maulid (Jaba).

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI YA TAIFA DHIDI YA BOYS