JEMBE JENGINE KUTOKA ZANZIBAR RASMI AMETUA YANGA


Timu ya Yanga imemalizana rasmi na Mlinzi wa timu ya KMC, Ally Hamad Ally 'Kinibu' baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Ally ambae aliwahi kucheza Gulioni FC ya Zanzibar kabla kwenda Stand United na msimu ulopita akiitumikia KMC.

Kusajiliwa kwa Ally Ally kunaifanya klabu ya Yanga kuwa na orodha kubwa ya Wachezaji kutokea Visiwani Zanzibar akiwemo kiungo pendwa Feisal Salum (Fei toto), Mohammed Issa (Moo Banka), Abdul Aziz Makame (Abui) na wengine wengi ambao wamemaliza mikataba msimu ulopita .

Comments

Popular posts from this blog

JKU ACADEMY HAO WATANGULIA KWENDA ARUSHA KATIKA MASHINDANO YA ROLLING STONE

WACHEZAJI WA 5 WA ZANZIBAR HEROES WAMEITWA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHEZO MIWILI YA KIMATAIFA YA KALENDA YA FIFA.

ZANZIBAR KARIBU WATAPATA UANACHAMA WA FIFA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA 55 WA CAF